Bainisha aina mbili za vishazi katika sentensi hii :- Shamba lile kubwa litauzwa kesho

      

Bainisha aina mbili za vishazi katika sentensi hii :-
Shamba lile kubwa litauzwa kesho

  

Answers


Maurice
-Shamba lile kubwa – kishazi tegemezi

- Litauzwa kesho – kishazi huru.
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:17


Next: The scale of a map is given as 1:50,000 Find the actual area in hectares of a region represented by a triangle of sides 6cm by...
Previous: The diagram below shows a phenomenon which occurs during cell division.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions