Andika katika usemi wa taarifa : “Karibu Rahma, tafadhali kaa,” Musa akasema . Ahsante, je, habari za hapa?’ Rahma aliuliza

      

Andika katika usemi wa taarifa :
“Karibu Rahma, tafadhali kaa,” Musa akasema . Ahsante, je, habari za hapa?’ Rahma aliuliza

  

Answers


Maurice
-Musa alimkaribisha Rahma na kumsihi akae.
- Rahma alishukuru na kumuuliza habari za pale
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:25


Next: Explain why hormone testosterone still exerts its influence even when vas deferens have been cut.
Previous: Name two mechanisms that hinder self fertilization in flowering plants.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions