O na U
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:28
- Andika katika usemi wa taarifa :
“Karibu Rahma, tafadhali kaa,” Musa akasema . Ahsante, je, habari za hapa?’ Rahma aliuliza(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa :
“Karibu Rahma, tafadhali kaa,” Musa akasema . Ahsante, je, habari za hapa?’ Rahma aliuliza
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Bainisha aina mbili za vishazi katika sentensi hii :-
Shamba lile kubwa litauzwa kesho(Solved)
Bainisha aina mbili za vishazi katika sentensi hii :-
Shamba lile kubwa litauzwa kesho
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tumia – ‘ako’ katika sentensi kama:
i) Kivumishi
ii) Kiwakilishi
iii) Kitenzi(Solved)
Tumia – ‘ako’ katika sentensi kama:
i) Kivumishi
ii) Kiwakilishi
iii) Kitenzi
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sahihisha:
i) Kila mwanafunzi alipewa ndazi na mayai moja
ii) Nipee huo mkoba nitoemo vitabu zangu(Solved)
Sahihisha:
i) Kila mwanafunzi alipewa ndazi na mayai moja
ii) Nipee huo mkoba nitoemo vitabu zangu
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika udogo wa:
Magari yote yaliyobakia yatauzwa na mzee yule mwembamba(Solved)
Andika udogo wa:
Magari yote yaliyobakia yatauzwa na mzee yule mwembamba
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Taja sifa mbalimbali za sauti zifuatazo:
/Z/
/K/(Solved)
Taja sifa mbalimbali za sauti zifuatazo:
/Z/
/K/
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo ukitumia njia ya matawi :-
Amekuja kuwatembelea manusura waliopata ajali ya ndege(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo ukitumia njia ya matawi :-
Amekuja kuwatembelea manusura waliopata ajali ya ndege
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sisi tunajua sheria ingawa tu wafisadi
Anza: Japo………….(Solved)
Sisi tunajua sheria ingawa tu wafisadi
Anza: Japo………….
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha viambishi katika neno lifuatalo:
atakuajiri(Solved)
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo:
atakuajiri
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika katika wingi
Meza ii hii ndiyo aliyotumia kulia(Solved)
Andika katika wingi
Meza ii hii ndiyo aliyotumia kulia
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa
i) cha …
ii) nywa(Solved)
Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa
i) cha …
ii) nywa
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi: ‘umba’(Solved)
Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi: ‘umba’
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Unda nomino za/lm,k, dhahania kutokana na maneno yafuatayo :-
i) Kwea .
ii) Himarisha(Solved)
Unda nomino za/lm,k, dhahania kutokana na maneno yafuatayo :-
i) Kwea .
ii) Himarisha
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili ya sentensi:-
Tumetengeneza barabara(Solved)
Eleza maana mbili ya sentensi:-
Tumetengeneza barabara
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano(Solved)
Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.(Solved)
Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi(i) Dhamani(ii) Thamani(Solved)
Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi
(i) Dhamani
(ii) Thamani
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.(Solved)
Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana(Solved)
Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)