Bainisha matumizi ya maneno yaliyopigwa mstari (i) Mbio hizi hazitakufikisha mbali (ii) Mwambie Abedi asifanye mbio kuhusu hiyo kazi.

      

Bainisha matumizi ya maneno yaliyopigwa mstari
(i) Mbio hizi hazitakufikisha mbali
(ii) Mwambie Abedi asifanye mbio kuhusu hiyo kazi.

  

Answers


Maurice
(i)Mbio –Nomino

(ii)Mbio-Kielezi
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 08:33


Next: Andika katika hali ya ukubwa Mwanamke huyu amezaa watoto wanne.
Previous: Name the source document to which each of the following descriptions relate i) Issued by seller to a buyer for cash paid ii)Used for processing and authorizing...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions