Tunga sentensi mbili kubainisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:- (i) Kuna (ii) guna

      

Tunga sentensi mbili kubainisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:-
(i) Kuna
(ii) guna

  

Answers


Maurice
(i)Kuna- kukwaruza kutumia kitu chenye meno mfano-Kukuna nazi.

(ii) Guna-Kukataa
mfano-Mwanafunzi aliguna alipotaka kuchapwa
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 08:46


Next: The diagram below represents female reproductive system.
Previous: Taja mianzo mitatu tofauti ya ngeli ya U-ZI

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions