Weka sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea:- Mmea ambao unapandwa katika msimu wa masika unamea

      

Weka sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea:-
Mmea ambao unapandwa katika msimu wa masika unamea

  

Answers


Maurice
Mmea upandwao/ambao hupandwa katika msimu wa masika humea
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:13


Next: Define the following terms: a) Growth b) Development
Previous: State the limitations of oral communication.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions