Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:- (i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema (ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema

      

Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema

  

Answers


Maurice
(i) Juma alisema ya kuwa /kuwa/ ya kwamba / kwamba angerudi tu ikiwa/ kama
wangekubali kuomba msamaha

(ii) Mwalimu Mkuu aliwataka /aliwaambia waeleze vile Walivyoenda hapo na
namna wangeenda/watakavyoenda
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:17


Next: List the ways in which insecurity negatively affects running of business activities.
Previous: The diagram below represents a stage during the process of germination.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions