Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :- Alimlilia mwanawe

      

Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe

  

Answers


Maurice
(i) Alilia kwa sababu ya mwanawe

(ii) Alimnyenyekea mwanawe ili ampe msaada
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:23


Next: Mti wa zambarau ni rahisi kukatwa ukiwa unatumia msumeno. (Anza Ni rahisi...)
Previous: Kanusha sentensi hii:- Tungewalaki kama tungejua watakuja

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions