– ki ya masharti
- ki ya udogo
- ki ya lugha kwa mfano kikamba
- ki ya ngeli ya ki-vi
- ki ya jinsi / namna kwa mfano tembea kijeshi
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:29
- Sahihisha sentensi ifuatayo na uiweke katika wingi:-
Ningalifanya kazi ningekuwa tajiri(Solved)
Sahihisha sentensi ifuatayo na uiweke katika wingi:-
Ningalifanya kazi ningekuwa tajiri
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi hii:-
Tungewalaki kama tungejua watakuja(Solved)
Kanusha sentensi hii:-
Tungewalaki kama tungejua watakuja
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe(Solved)
Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Mti wa zambarau ni rahisi kukatwa ukiwa unatumia msumeno. (Anza Ni rahisi...)(Solved)
Mti wa zambarau ni rahisi kukatwa ukiwa unatumia msumeno. (Anza Ni rahisi...)
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Aliogopa kumwangalia simba aliyekula mzoga. (Tumia neno ‘Ogofya’ bila ya
kubadililsha ya sentensi:-)(Solved)
Aliogopa kumwangalia simba aliyekula mzoga. (Tumia neno ‘Ogofya’ bila ya
kubadililsha ya sentensi:-)
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema(Solved)
Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Weka sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea:-
Mmea ambao unapandwa katika msimu wa masika unamea(Solved)
Weka sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea:-
Mmea ambao unapandwa katika msimu wa masika unamea
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo bila kutumia “amba”:- Jitu ambalo linatusumbua sharti liadhibiwe vikali(Solved)
Andika sentensi ifuatayo bila kutumia “amba”:-
Jitu ambalo linatusumbua sharti liadhibiwe vikali
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya semi hizi :
(i) Kunja jamvi
(ii) Piga kambi(Solved)
Eleza maana ya semi hizi :
(i) Kunja jamvi
(ii) Piga kambi
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Taja mianzo mitatu tofauti ya ngeli ya U-ZI(Solved)
Taja mianzo mitatu tofauti ya ngeli ya U-ZI
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi mbili kubainisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:-
(i) Kuna
(ii) guna(Solved)
Tunga sentensi mbili kubainisha maana tofauti ya maneno yafuatayo:-
(i) Kuna
(ii) guna
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha kishazi huru na kishazi tegemezi
Msichana aliyeitwa alikuwa mkorofi(Solved)
Onyesha kishazi huru na kishazi tegemezi
Msichana aliyeitwa alikuwa mkorofi
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Bainisha matumizi ya maneno yaliyopigwa mstari
(i) Mbio hizi hazitakufikisha mbali
(ii) Mwambie Abedi asifanye mbio kuhusu hiyo kazi.(Solved)
Bainisha matumizi ya maneno yaliyopigwa mstari
(i) Mbio hizi hazitakufikisha mbali
(ii) Mwambie Abedi asifanye mbio kuhusu hiyo kazi.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika katika hali ya ukubwa
Mwanamke huyu amezaa watoto wanne.(Solved)
Andika katika hali ya ukubwa
Mwanamke huyu amezaa watoto wanne.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Unda nomino mbili mbili kutokana na vitenzi vifuatavyo:-(i) abudu(ii) fisidi(Solved)
Unda nomino mbili mbili kutokana na vitenzi vifuatavyo:-
(i) abudu
(ii) fisidi
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Changanua kwa kutumia mishale
‘Mimi sikumwona wala Mwenda hakumwona’(Solved)
Changanua kwa kutumia mishale
‘Mimi sikumwona wala Mwenda hakumwona’
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- ‘Msipokuwa wenye bidii hamtayapata mafanikio maishani.’ Yakinisha katika umoja(Solved)
‘Msipokuwa wenye bidii hamtayapata mafanikio maishani.’ Yakinisha katika umoja
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tumia ‘‘O’’ rejeshi ya kati
Lisemwalo silo liwalo(Solved)
Tumia ‘‘O’’ rejeshi ya kati
Lisemwalo silo liwalo
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ambayo ina aina za maneno uliyopewa:-
N + V + V + T(Solved)
Tunga sentensi ambayo ina aina za maneno uliyopewa:-
N + V + V + T
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika kwa usemi wa taarifa:-
“Wasichana wakielimishwa wataweza kuwa bora kuliko wavulana,” Naibu wa Chansela
wa chuo Kikuu aliwaambia mahafala.(Solved)
Andika kwa usemi wa taarifa:-
“Wasichana wakielimishwa wataweza kuwa bora kuliko wavulana,” Naibu wa Chansela
wa chuo Kikuu aliwaambia mahafala.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)