Akifisha kifungu hiki:- Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea mashariki kusini na hatimaye magharibi walifikia huko novemba mwaka jana walipokuwa wakirudi walimkuta mwalimu mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona...

      

Akifisha kifungu hiki:-
Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea mashariki kusini na hatimaye magharibi
walifikia huko novemba mwaka jana walipokuwa wakirudi walimkuta mwalimu
mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona pale

  

Answers


Maurice
Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea Mashariki, kusini na hatimaye Magharibi.Walifika huko Novemba mwaka jana.Walipokuwa wakirudi, walimkuta Mwalimu mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona pale.
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:40


Next: Name the type of cell division that produces gametes.
Previous: Geuza sentensi hii hadi udogo:- Nyoka yule mrefu alifukuzwa na watu wengi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions