Geuza sentensi hii hadi udogo:- Nyoka yule mrefu alifukuzwa na watu wengi

      

Geuza sentensi hii hadi udogo:-
Nyoka yule mrefu alifukuzwa na watu wengi

  

Answers


Maurice
Kijoka kile kirefu kilifukuzwa na vijitu vingi
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:42


Next: Akifisha kifungu hiki:- Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea mashariki kusini na hatimaye magharibi walifikia huko novemba mwaka jana walipokuwa wakirudi walimkuta mwalimu mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona...
Previous: State three methods of weed control in paddy rice.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions