Onyesha maneno yaliyokopwa toka lugha za kigeni na kuswahilishwa kwa kuyaongezea irabu kama Bint (Kiarabu) – Binti Toa mifano minne

      

Onyesha maneno yaliyokopwa toka lugha za kigeni na kuswahilishwa kwa kuyaongezea
irabu kama Bint (Kiarabu) – Binti
Toa mifano minne

  

Answers


Maurice
(i) Kiosk (Kiingereza) – Kioski
(ii) Hundir (Kihindi) – hundi
(iii) Lakh (Kihindi) – Laki
(iv) Shukran (Kiarabu) – Shukurani
(v) Shirt (Kiingereza) – Shati
(vi) Rushn (Kiajemi) – roshani
(vii) Kod (Kiajemi) – Kodi
(viii) Duvin (Kifaransa) – divai
(ix) Court (Kiingereza ) – Korti
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:54


Next: Mahabusu walifyeka uwanja vizuri Andika sentensi hiyo upya ukimaliza kwa neno mahabusu
Previous: Give reasons why prophet Amos condemned the rich in Israel.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions