Andika sentensi ifuatayo kwa usemi halisi: Mwalimu alipoingia darasani aliuliza kitabu chake kilipokuwa.

      

Andika sentensi ifuatayo kwa usemi halisi:
Mwalimu alipoingia darasani aliuliza kitabu chake kilipokuwa.

  

Answers


Maurice
“Kitabu changu kipo wapi?” Mwaimu aliuliza alipoingia darasani
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 09:57


Next: Give reasons why prophet Amos condemned the rich in Israel.
Previous: Carefully study the figure below and answer the questions that follow:-

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions