Kanusha sentensi hizi kwa wingi:- (i) Mtoto huenda shuleni kila siku (ii) Mwalimu amemfunza mwanafunzi vizuri

      

Kanusha sentensi hizi kwa wingi:-
(i) Mtoto huenda shuleni kila siku
(ii) Mwalimu amemfunza mwanafunzi vizuri

  

Answers


Maurice
(i) Watoto hawaendi shuleni kila siku

(ii) Walimu hawajafunza wanafunzi vizuri
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 10:06


Next: Give the form in which each of the following substances are transported in mammalian blood:(i) Carbon (IV) oxide(ii) Oxygen
Previous: Give three reasons why the Kenyan Coastal water is not rich in fish

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions