Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:- (i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu (ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale

      

Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:-
(i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu
(ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale

  

Answers


Maurice
(i) Mwanafunzi aliyetuzwa ni wa shule yetu

(ii) Sikuziona nyuzi zitengenezwazo ngoma tuzionazo pale
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 10:15


Next: List three major exports from Kenya to the European Union (E.U)
Previous: Name the major dispersal area of the western Bantus.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions