Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
-KI - Kiambishii awali kiwakilishi nomino (nafsi)
-LI - Kiambishi awali – wakati
-CHO – Kiambishi awali kirejeshi
-KI - Kiambishi awali –kitendwa
-KAT - Mzizi
-A - Kiishio
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 10:25
- Bainisha ngeli za nomino hizi :-
(i) Kisu
(ii) Nyavu
(iii) Chai(Solved)
Bainisha ngeli za nomino hizi :-
(i) Kisu
(ii) Nyavu
(iii) Chai
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vielelezo vya vishale:
Kiarie ni mwanafunzi mtiifu(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vielelezo vya vishale:
Kiarie ni mwanafunzi mtiifu
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:-
(i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu
(ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale(Solved)
Ziandike sentensi hizi bila maneno yaliyopigiwa mstari:-
(i) Mwanafunzi ambaye alituzwa ni wa shule yetu
(ii) Sikuziona nyuzi ambazo huzitengeneza ngoma ambayo huiona pale
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi hizi kwa wingi:-
(i) Mtoto huenda shuleni kila siku
(ii) Mwalimu amemfunza mwanafunzi vizuri(Solved)
Kanusha sentensi hizi kwa wingi:-
(i) Mtoto huenda shuleni kila siku
(ii) Mwalimu amemfunza mwanafunzi vizuri
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo kwa usemi halisi:
Mwalimu alipoingia darasani aliuliza kitabu chake kilipokuwa.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo kwa usemi halisi:
Mwalimu alipoingia darasani aliuliza kitabu chake kilipokuwa.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha maneno yaliyokopwa toka lugha za kigeni na kuswahilishwa kwa kuyaongezea
irabu kama Bint (Kiarabu) – Binti
Toa mifano minne(Solved)
Onyesha maneno yaliyokopwa toka lugha za kigeni na kuswahilishwa kwa kuyaongezea
irabu kama Bint (Kiarabu) – Binti
Toa mifano minne
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Mahabusu walifyeka uwanja vizuri
Andika sentensi hiyo upya ukimaliza kwa neno mahabusu(Solved)
Mahabusu walifyeka uwanja vizuri
Andika sentensi hiyo upya ukimaliza kwa neno mahabusu
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sauti hizi ni za aina gani na hutamkwa wapi?
(i) gh
(ii) j(Solved)
Sauti hizi ni za aina gani na hutamkwa wapi?
(i) gh
(ii) j
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika upya sentensi hii kwa kuandika kinyume cha kila neno lilipigwa mstari:-
Wifi alipovaa nguo na kusimama ajuza yule alikaa(Solved)
Andika upya sentensi hii kwa kuandika kinyume cha kila neno lilipigwa mstari:-
Wifi alipovaa nguo na kusimama ajuza yule alikaa
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Geuza sentensi hii hadi udogo:-
Nyoka yule mrefu alifukuzwa na watu wengi(Solved)
Geuza sentensi hii hadi udogo:-
Nyoka yule mrefu alifukuzwa na watu wengi
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Akifisha kifungu hiki:-
Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea mashariki kusini na hatimaye magharibi
walifikia huko novemba mwaka jana walipokuwa wakirudi walimkuta mwalimu
mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona...(Solved)
Akifisha kifungu hiki:-
Yohana na Emanueli walifunga safari wakielekea mashariki kusini na hatimaye magharibi
walifikia huko novemba mwaka jana walipokuwa wakirudi walimkuta mwalimu
mkuu njiani ambaye alishtuka kuwaona pale
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Unda majina mawili mawili kutoka vitenzi hivi na utumie katika sentensi ili
kubainisha maana
(i) Safiri
(ii) Zaa(Solved)
Unda majina mawili mawili kutoka vitenzi hivi na utumie katika sentensi ili
kubainisha maana
(i) Safiri
(ii) Zaa
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tumia kivumishi kilichoko kwenye mabano kukamilisha sentensi:-
(i) Bibi yule alinunua gari ________________________(-pya)
(ii) Mti (-ingine) _______________________uliangushwa badala ya ule wa kwanza.(Solved)
Tumia kivumishi kilichoko kwenye mabano kukamilisha sentensi:-
(i) Bibi yule alinunua gari ________________________(-pya)
(ii) Mti (-ingine) _______________________uliangushwa badala ya ule wa kwanza.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi nne kuonyesha matumizi na maana nne za kijineno ’ki’(Solved)
Tunga sentensi nne kuonyesha matumizi na maana nne za kijineno ’ki’
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sahihisha sentensi ifuatayo na uiweke katika wingi:-
Ningalifanya kazi ningekuwa tajiri(Solved)
Sahihisha sentensi ifuatayo na uiweke katika wingi:-
Ningalifanya kazi ningekuwa tajiri
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Kanusha sentensi hii:-
Tungewalaki kama tungejua watakuja(Solved)
Kanusha sentensi hii:-
Tungewalaki kama tungejua watakuja
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe(Solved)
Andika maana mbili zinazojitokeza katika sentensi hii :-
Alimlilia mwanawe
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Mti wa zambarau ni rahisi kukatwa ukiwa unatumia msumeno. (Anza Ni rahisi...)(Solved)
Mti wa zambarau ni rahisi kukatwa ukiwa unatumia msumeno. (Anza Ni rahisi...)
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Aliogopa kumwangalia simba aliyekula mzoga. (Tumia neno ‘Ogofya’ bila ya
kubadililsha ya sentensi:-)(Solved)
Aliogopa kumwangalia simba aliyekula mzoga. (Tumia neno ‘Ogofya’ bila ya
kubadililsha ya sentensi:-)
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema(Solved)
Badilisha sentensi hizi hadi usemi wa taarifa:-
(i) “Nitarudi tu ikiwa mtakubali kuomba msamaha”. Juma alisema
(ii) “Elezeni vile mlivyokuja hapa na namna mtakavyokwenda.” Mwalimu mkuu alisema
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)