Onyesha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo: Kamau alimlimia mamake shamba kwa trekta

      

Onyesha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo:
Kamau alimlimia mamake shamba kwa trekta

  

Answers


Maurice
(i) Shamirisho kipozi – Shamba
(ii) Shamirisho ktiondo – mamake
(iii) Shamirisho ala – kwa trekta
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 10:31


Next: Nyambua kitenzi ‘oa’ katika hali tatu zifuatazo: tendewa, tendwa, tendea
Previous: Unda nomino kutokana na vitenzi hivi:- (i) Chapa (ii) Goma

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions