Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii :- Chakula ambacho ni muhimu, huweza kujenga au kobomoa mwili wako.

      

Tambua kishazi huru na kishazi tegemezi katika sentensi hii :-
Chakula ambacho ni muhimu, huweza kujenga au kobomoa mwili wako.

  

Answers


Maurice
(i) Kishazi huru – Chakula huweza kujenga au kubomoa

(ii) Kishazi tegemezi – ambacho ni muhimu
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:21


Next: Wekesa and Wanjiku who are siblings are both normal as their parents but have a hemophilic brother. Give the Genotype of their parents. i)What are linked...
Previous: The table below is a representation of a chromatide with genes along its length. It undergoes mutation to appear as shown below.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions