Sahihisha sentensi ifuatayo: Ukienda mle pao atakuweko

      

Sahihisha sentensi ifuatayo:
Ukienda mle pao atakuweko

  

Answers


Maurice
(i) Ukienda mle mwao atakuwemo

(ii) Ukienda pale pao atakuwepo

(iii) Ukienda kule kwao atakuweko
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:24


Next: The table below is a representation of a chromatide with genes along its length. It undergoes mutation to appear as shown below.
Previous: Andika sentensi ifuatayo katika udogo: Mbwa mdogo amekanyagwa na gari.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions