Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo: (i) Pamba (ii) Bamba

      

Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo:
(i) Pamba
(ii) Bamba

  

Answers


Maurice
i) Mkulima alipanda Pamba shambani ( Mmea)
Au
Msichana yule alijipamba vizuri (kujipodoa)

ii) Jambazi yule alimbamba askari (Kamata kwa nguvu)
Au
Gari lake liliharibiwa bamba (Sehemu ya gari)
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:30


Next: Andika kwa umoja Uovu waliotuonyesha hautasahaulika
Previous: State three limitations of fossils records as an evidence of organic evolution.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions