Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo (i) Nafsi ya tatu umoja (ii) Wakati uliopita (iii) ‘O’ rejeshi (iv) kitendwa (v) mzizi (vi) kiishio

      

Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo
(i) Nafsi ya tatu umoja
(ii) Wakati uliopita
(iii) ‘O’ rejeshi
(iv) kitendwa
(v) mzizi
(vi) kiishio

  

Answers


Maurice
Aliyepiga
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:36


Next: Sauti zifuatazo hutamkiwa wapi? (i) /f/ (ii) /v/
Previous: Study the drawing below and use it to answer the questions that follow.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions