Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi (i) Kazi hii ni nzuri. (ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.

      

Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi
(i) Kazi hii ni nzuri.

(ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.

  

Answers


Maurice
i) ni – kitenzi kishirikishi kikamilifu

ii) yamekuwa – kitenzi kisaidizi
- yakihifadhiwa – kitenzi kikuu
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:42


Next: (a) State two differences between taxes and tropisms. (b) Give two survival values of tactic movements to organisms.
Previous: Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne ambayo ni tofauti na uelezee

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions