Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne ambayo ni tofauti na uelezee

      

Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne
ambayo ni tofauti na uelezee

  

Answers


Maurice
i) Kuonyesha ukubwa wa nomino
Jitu limekufa
Majitu yamekufa

ii) Kuonyesha nomino ambazo hazina umoja na wingu
Tikiti lililonunuliwa
Tikiti yaliyonununliwa

iii) Kuonyesha vitu visivyo na uhai
Jiko lilivunjika
Meko yalivunjika

iv) Kuonyesha vitu dhahaima
Shetani lilifukuzwa
Mashetani yalofukuzwa
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:47


Next: Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi (i) Kazi hii ni nzuri. (ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.
Previous: An experiment was carried out to investigate a growth response in maize seedling as shown in the diagram below.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions