Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani? Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;

      

Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani?
Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;

  

Answers


Maurice
- Karo – SH kipozi
- Watoto – SH kitondo
- Kwa hundi – SH Ala/ kitumizi
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 11:50


Next: An experiment was carried out to investigate a growth response in maize seedling as shown in the diagram below.
Previous: Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale. Hakimu alimwadhibu kinyama.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions