Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari (i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya (ii) Kuimba kulifurahisha hadhira

      

Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari
(i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya
(ii) Kuimba kulifurahisha hadhira

  

Answers


Maurice
(i) Alisifiwa

(ii) Kuliudhi
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:18


Next: Wafuatao wana ulemavu upi? (i) Toinyo (ii) Huntha
Previous: The diagram below represents a bone in the mammalian skeleton.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions