Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo; (i) Bibi yake amefika (ii) Alimpigia mpira

      

Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo;
(i) Bibi yake amefika
(ii) Alimpigia mpira

  

Answers


Maurice
(i) - Nyanya yake amewasili
- Mke wake amewasili


(ii) - Alimrudi kwa sababu ya mpira
- Alimpiga kwa kutumia mpira
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:28


Next: State the role of lignin in the wall of the xylem vessel.
Previous: How does vascular bundles contribute to support in plants?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions