Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa

      

Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa

  

Answers


Maurice
(i) Kuonyesha hali ya ukubwa, mfano; jitu, jisu, jiji
- Ikiwa mwishoni mwa kitenzi jina ili kuunda nomino yenye maana ya kazi ya mazoea.
Kwa mfano; msemaji, mwimbaji, mchoraji

(ii) Kama kiambishi cha kuonyesha dharau au kudunisha mfano jivulana, jisichana.

(iii) Kiambishi rejeshi kinachotambulisha kama mtendaji amejifanyia kitendo yeye mwenyewe au
anajionyesha kuwa mtu wa tabia au matendo fulani .
mfano; - Mavitu alijitia kitanzi
- Amejiwekea akiba ya kutosha
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:34


Next: Given the equation 4/9x - 1/3y=1,find the equation of the perpendicular to the line at its y-intercept.
Previous: The diagram below represents the anterior view of a rib.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions