Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?

      

Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?

  

Answers


Maurice
(i) a – Karibu na kati, chini ya ulimi

(ii) i – Juu mbele ya ulimi

(iii) u – Juu nyuma ya ulimi
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:45


Next: Mention three reasons for caring for the sick at home.
Previous: Express in surd form and simplify by rationalizing the denominator

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions