Andika usemi huu kwa usemi wa taarifa “Kefule! Mtoto huyu ni kaidi kama kirongwe. Hamheshimu babake!” alisema mzee Kamau.

      

Andika usemi huu kwa usemi wa taarifa
“Kefule! Mtoto huyu ni kaidi kama kirongwe. Hamheshimu babake!” alisema mzee Kamau.

  

Answers


Maurice
Mzee Kamau alishangaaa na kusema kuwa mtoto huyo alikuwa mkaidi kama kirongwe hasa kwa kutoheshimu babake.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:50


Next: Giving a reason, mention three points of ensuring successful results when using steaming as a cooking method.
Previous: Solve: 2x – 5y = 1 4x2 + 25y2 = 41

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions