Mzee Kamau alishangaaa na kusema kuwa mtoto huyo alikuwa mkaidi kama kirongwe hasa kwa kutoheshimu babake.
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:50
- Kamilisha na kueleza maana ya methali hii Mfinyanzi -...........(Solved)
Kamilisha na kueleza maana ya methali hii
Mfinyanzi -...........
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?(Solved)
Irabu a, i, na u hutamkwa wapi kwenye ulimi?
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa(Solved)
Kwa kutoa mifano, onyesha namna mbili vile kiambishi –j- hutumiwa
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo;
(i) Bibi yake amefika
(ii) Alimpigia mpira(Solved)
Eleza maana mbilimbili za sentensi zifuatazo;
(i) Bibi yake amefika
(ii) Alimpigia mpira
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi Abiria waliojeruhiwa sana walipelekwa hospitali haraka(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya matawi
Abiria waliojeruhiwa sana walipelekwa hospitali haraka
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari
(i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya
(ii) Kuimba kulifurahisha hadhira(Solved)
Andika vinyume vya vitenzi vilivyopigwa mistari
(i) Alikashifiwa kwa kazi aliyofanya
(ii) Kuimba kulifurahisha hadhira
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Wafuatao wana ulemavu upi?
(i) Toinyo
(ii) Huntha (Solved)
Wafuatao wana ulemavu upi?
(i) Toinyo
(ii) Huntha
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kati ya nomino za Kiswahili taja ngeli mbili ambazo nomino zake hazibadiliki katika umoja
na katika wingi. Kisha utoe mfano mmoja kwa kila ngeli(Solved)
Kati ya nomino za Kiswahili taja ngeli mbili ambazo nomino zake hazibadiliki katika umoja
na katika wingi. Kisha utoe mfano mmoja kwa kila ngeli
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ni nini maana ya neno kirai ?(Solved)
Ni nini maana ya neno kirai ?
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Nyambua vitenzi hivi kulingna na kauli ya kutendua na kutendama(Solved)
Nyambua vitenzi hivi kulingna na kauli ya kutendua na kutendama
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale.
Hakimu alimwadhibu kinyama.(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale.
Hakimu alimwadhibu kinyama.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani?
Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;(Solved)
Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo na ueleze ni shamirisho ya aina gani?
Wazazi wanalipia watoto karo kwa hundi;
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne
ambayo ni tofauti na uelezee(Solved)
Ngeli ya LI-YA hujumulisha nomino za vitu vya aina mbalimbali. Toa mifano minne
ambayo ni tofauti na uelezee
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi
(i) Kazi hii ni nzuri.
(ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.(Solved)
Tambulisha aina za vitenzi vilivyotumika katika asentensi hizi
(i) Kazi hii ni nzuri.
(ii) Mazingira yamekuwa yakihifadhiwa.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo
(i) Nafsi ya tatu umoja
(ii) Wakati uliopita
(iii) ‘O’ rejeshi
(iv) kitendwa
(v) mzizi
(vi) kiishio(Solved)
Tunga sentensi ya neno moja yenye mofimu zifuatazo
(i) Nafsi ya tatu umoja
(ii) Wakati uliopita
(iii) ‘O’ rejeshi
(iv) kitendwa
(v) mzizi
(vi) kiishio
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sauti zifuatazo hutamkiwa wapi?
(i) /f/
(ii) /v/(Solved)
Sauti zifuatazo hutamkiwa wapi?
(i) /f/
(ii) /v/
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo:
(i) Pamba
(ii) Bamba(Solved)
Tunga sentensi moja moja kuonyesha tofauti kati ya vitate vifuatavyo:
(i) Pamba
(ii) Bamba
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika kwa umoja
Uovu waliotuonyesha hautasahaulika(Solved)
Andika kwa umoja
Uovu waliotuonyesha hautasahaulika
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika udogo:
Mbwa mdogo amekanyagwa na gari.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika udogo:
Mbwa mdogo amekanyagwa na gari.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Sahihisha sentensi ifuatayo:
Ukienda mle pao atakuweko(Solved)
Sahihisha sentensi ifuatayo:
Ukienda mle pao atakuweko
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)