Kanusha sentensi ifuatayo kwa udogo Mbuzi wake ana manyoya mengi na harufu kali

      

Kanusha sentensi ifuatayo kwa udogo
Mbuzi wake ana manyoya mengi na harufu kali

  

Answers


Maurice
Kibuzi/kijibuzi chake hakina vijinyoya/vinyoya vingi wala kiharufu/kijiharufu kikali
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 05:58


Next: Outline the procedure of preparing and attaching an inseam pocket.
Previous: Onyesha maana mbili ya neno taka

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions