Bainisha viwakilishi katika sentensi kisha useme ni vya aina gani. i) Mimi nitaondoka kesho (ii) Huyo alichaguliwa na wengi

      

Bainisha viwakilishi katika sentensi kisha useme ni vya aina gani.
i) Mimi nitaondoka kesho
(ii) Huyo alichaguliwa na wengi

  

Answers


Maurice
(i) Mimi – cha nafsi

(ii) Huyo – kiwakilishi kiashiria
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:09


Next: Panga nomino hizi katika ngeli mwafaka (i) Kipofu- . (ii) Uyoga- .
Previous: Find the equation of a circle whose centre lies on the line 3y = 6x + 18

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions