Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii Pale ndiko alimoingia

      

Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii
Pale ndiko alimoingia

  

Answers


Maurice
i) Pale ndipo alipoingia

ii) Kule ndiko alikoingia

iii) Mle ndimo alimoingia
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:20


Next: In the figure below O is the centre of the circle ABCD and AOD is a straight line.
Previous: Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili kubainisha matumizi mawili ya neno hili

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions