Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili kubainisha matumizi mawili ya neno hili

      

Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili
kubainisha matumizi mawili ya neno hili

  

Answers


Maurice
i) Ukoo/ nasaha – hawa ni watu wa mlango/ wa samba

ii) Kifungu katika Biblia – Kitabu cha Yohana mlango wa 3 mstari wa 4
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:26


Next: Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii Pale ndiko alimoingia
Previous: Given that A(-7, 2), B(-3, 3), C(-3, 6), D(-7, 8) are the vertices of a trapezium.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions