Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo. Mtoto alipikiwa uji na mamake jana jioni kwa jiko.

      

Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo.
Mtoto alipikiwa uji na mamake jana jioni kwa jiko.

  

Answers


Kavungya
Uji – kipozi, mtoto – kitondo na jiko ni ala.
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 06:35


Next: Chai hiyo iliwavutia watalii (Anza : Watalii…………..)
Previous: Andika maana mbili za neno mradi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions