Andika maana mbili za neno mradi.

      

Andika maana mbili za neno mradi.

  

Answers


Kavungya
a) Shughuli anayofanya mtu ili kumwigizia kipato
b) Haidhuru; ilimradi
c) Ujiti wa kutarizia
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 06:38


Next: Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo. Mtoto alipikiwa uji na mamake jana jioni kwa jiko.
Previous: Tumia neno “haraka” katika sentensi kama: (i) Nomino (ii) Kielezi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions