Andika maana mbili za sentensi: Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.

      

Andika maana mbili za sentensi:
Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.

  

Answers


Maurice
(i) Yeye mwenyewe aende asitumie mtu mwingine

(ii) Mtu anayemiliki kitu atembelewe
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:42


Next: Kuza sentensi ifuatayo. Nguo iliyoraruka itashonwa tena na fundi
Previous: Andika kulingana na maagizo (Tumia wakati usiodhihirika) Mwanafunzi anazungumza kiingereza vizuri.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions