Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda Wataka kazi Wataka kazi

      

Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda
Wataka kazi
Wataka kazi

  

Answers


Kavungya
Wataka kazi – watumwanao tafuta kazi.
Wataka kazi – kuuliza mtu fulani iwapo ataka kazi
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 06:49


Next: Andika mifano ya sauti zenye sifa zifuatazo: (i) Kipasuo cha kaakaa laini (ii) Nazali ya ufizi
Previous: Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions