Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha (i) Kitenzi kisaidizi (ii) Kitenzi kishirikishi

      

Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha
(i) Kitenzi kisaidizi
(ii) Kitenzi kishirikishi

  

Answers


Maurice
(i) Mama angali anapika jikoni (kitenzi kisaidizi)

(ii) Mama angali jikoni (kitenzi kishirikishi)
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:51


Next: Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.
Previous: Eleza maana mbili ya sentensi ifuatayo. Askari alimkimbilia mwizi.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions