Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Wanafunzi waliboresha insha zao
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 06:55
- Yakinisha katika nafsi ya pili umoja
Tusipoonana na mgeni hatutafaidi
(Solved)
Yakinisha katika nafsi ya pili umoja
Tusipoonana na mgeni hatutafaidi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili ya sentensi ifuatayo.
Askari alimkimbilia mwizi.
(Solved)
Eleza maana mbili ya sentensi ifuatayo.
Askari alimkimbilia mwizi.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha
(i) Kitenzi kisaidizi
(ii) Kitenzi kishirikishi(Solved)
Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha
(i) Kitenzi kisaidizi
(ii) Kitenzi kishirikishi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.(Solved)
Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda
Wataka kazi
Wataka kazi
(Solved)
Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda
Wataka kazi
Wataka kazi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika mifano ya sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Kipasuo cha kaakaa laini
(ii) Nazali ya ufizi(Solved)
Andika mifano ya sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Kipasuo cha kaakaa laini
(ii) Nazali ya ufizi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Maneno hayo yako katika ngeli gani?
(i) Ridhaa
(ii) Nanasi(Solved)
Maneno hayo yako katika ngeli gani?
(i) Ridhaa
(ii) Nanasi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika kulingana na maagizo
(Tumia wakati usiodhihirika)
Mwanafunzi anazungumza kiingereza vizuri.(Solved)
Andika kulingana na maagizo
(Tumia wakati usiodhihirika)
Mwanafunzi anazungumza kiingereza vizuri.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika maana mbili za sentensi: Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.(Solved)
Andika maana mbili za sentensi:
Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kuza sentensi ifuatayo.
Nguo iliyoraruka itashonwa tena na fundi(Solved)
Kuza sentensi ifuatayo.
Nguo iliyoraruka itashonwa tena na fundi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia neno “haraka” katika sentensi kama:
(i) Nomino
(ii) Kielezi(Solved)
Tumia neno “haraka” katika sentensi kama:
(i) Nomino
(ii) Kielezi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika maana mbili za neno mradi. (Solved)
Andika maana mbili za neno mradi.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo.
Mtoto alipikiwa uji na mamake jana jioni kwa jiko.
(Solved)
Ainisha shamirisho katika sentensi ifuatayo.
Mtoto alipikiwa uji na mamake jana jioni kwa jiko.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Chai hiyo iliwavutia watalii (Anza : Watalii…………..)(Solved)
Chai hiyo iliwavutia watalii (Anza : Watalii…………..)
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili
kubainisha matumizi mawili ya neno hili(Solved)
Neno “mlango” lina maana ya “uwazi wa kuingilia nyumba.” Tunga sentensi mbili
kubainisha matumizi mawili ya neno hili
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii
Pale ndiko alimoingia(Solved)
Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii
Pale ndiko alimoingia
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tambua mzizi katika neno:
Tuliwalimia (Solved)
Tambua mzizi katika neno:
Tuliwalimia
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali yafuatayo:
(i) Waashi wale wanaishi kwa
(ii) Mtoto alitaka majina…
(iii) Wanitania hivyo(Solved)
Tumia kiulizi kifaacho kukamilisha maswali yafuatayo:
(i) Waashi wale wanaishi kwa
(ii) Mtoto alitaka majina…
(iii) Wanitania hivyo
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Bainisha viwakilishi katika sentensi kisha useme ni vya aina gani.
i) Mimi nitaondoka kesho
(ii) Huyo alichaguliwa na wengi(Solved)
Bainisha viwakilishi katika sentensi kisha useme ni vya aina gani.
i) Mimi nitaondoka kesho
(ii) Huyo alichaguliwa na wengi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Panga nomino hizi katika ngeli mwafaka
(i) Kipofu- .
(ii) Uyoga- .(Solved)
Panga nomino hizi katika ngeli mwafaka
(i) Kipofu- .
(ii) Uyoga- .
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)