Tumia kirejeshi kuonyesha mazoea katika sentensi ifuatayo: Mtoto anayelia ni huyu

      

Tumia kirejeshi kuonyesha mazoea katika sentensi ifuatayo:
Mtoto anayelia ni huyu

  

Answers


Maurice
Mtoto aliaye ni huyu
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 06:55


Next: Unda kitenzi kutokana na neno bora na utunge sentensi katika hali ya wingi.
Previous: Tofautisha Mkulima amekula tunda lolote Mkulima amekula tunda lote

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions