Tofautisha Mkulima amekula tunda lolote Mkulima amekula tunda lote

      

Tofautisha
Mkulima amekula tunda lolote
Mkulima amekula tunda lote

  

Answers


Kavungya
-Bila kubagua
-Bila kubakisha
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 06:56


Next: Tumia kirejeshi kuonyesha mazoea katika sentensi ifuatayo: Mtoto anayelia ni huyu
Previous: Changanua kwa jedwali Chakula ambacho kilipikwa vizuri kimeliwa na watu wote

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions