Tambua matumizi ya ni – katika sentensi hii Mwanafunzi ni mtukutu Ameenda ibadani

      

Tambua matumizi ya ni – katika sentensi hii
Mwanafunzi ni mtukutu
Ameenda ibadani

  

Answers


Kavungya
ni – t – pungufu
ni – kielezi cha mahali
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:01


Next: Read the excerpt below and then answer the questions that follow.
Previous: Kanusha Nikimwona ndugu yangu nitamjulisha habari hizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions