Tambua aina ya nomino katika utungo ufuatao. Mji wa sokomoko una masaibu mengi

      

Tambua aina ya nomino katika utungo ufuatao.
Mji wa sokomoko una masaibu mengi

  

Answers


Kavungya
Mji – N – kawaida
Sokomoko – N – pekee
Masaibu – N – dhahania
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:03


Next: Kanusha Nikimwona ndugu yangu nitamjulisha habari hizi
Previous: Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi (i) Kishirikishi kipungufu (ii) Kikuu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions