Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi (i) Kishirikishi kipungufu (ii) Kikuu

      

Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi
(i) Kishirikishi kipungufu
(ii) Kikuu

  

Answers


Maurice
(i) Sisi tu wanafunzi
(ni, ki, u, zi, li, yu, ndisi, ndimi)

(ii) Mwalimu alikuwa anafundisha .
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:03


Next: Tambua aina ya nomino katika utungo ufuatao. Mji wa sokomoko una masaibu mengi
Previous: Linganisha na ulinganue sauti /k/na/g/

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions