Tambua mofimu katika neno lifuatalo Waimbao

      

Tambua mofimu katika neno lifuatalo
Waimbao

  

Answers


Kavungya
Wa – Nafsi 3 wingi
Imb – Mzizi
a – Kauli ya kutenda
o – Kirejeshi
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:05


Next: Rewrite the sentence according to the instruction given without changing its meaning.
Previous: Akifisha je, unaipenda hali ilivyo mwenzake alitaka kujua

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions