"Je, unaipenda hali ilivyo ?’ Mwenzake alitaka kujua
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:05
- Tambua mofimu katika neno lifuatalo
Waimbao
(Solved)
Tambua mofimu katika neno lifuatalo
Waimbao
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Linganisha na ulinganue sauti /k/na/g/ (Solved)
Linganisha na ulinganue sauti /k/na/g/
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi
(i) Kishirikishi kipungufu
(ii) Kikuu(Solved)
Tunga sentensi sahihi ukitumia vitenzi
(i) Kishirikishi kipungufu
(ii) Kikuu
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tambua aina ya nomino katika utungo ufuatao.
Mji wa sokomoko una masaibu mengi
(Solved)
Tambua aina ya nomino katika utungo ufuatao.
Mji wa sokomoko una masaibu mengi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kanusha
Nikimwona ndugu yangu nitamjulisha habari hizi
(Solved)
Kanusha
Nikimwona ndugu yangu nitamjulisha habari hizi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tambua matumizi ya ni – katika sentensi hii
Mwanafunzi ni mtukutu
Ameenda ibadani(Solved)
Tambua matumizi ya ni – katika sentensi hii
Mwanafunzi ni mtukutu
Ameenda ibadani
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Changanua kwa jedwali
Chakula ambacho kilipikwa vizuri kimeliwa na watu wote
(Solved)
Changanua kwa jedwali
Chakula ambacho kilipikwa vizuri kimeliwa na watu wote
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tofautisha
Mkulima amekula tunda lolote
Mkulima amekula tunda lote
(Solved)
Tofautisha
Mkulima amekula tunda lolote
Mkulima amekula tunda lote
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia kirejeshi kuonyesha mazoea katika sentensi ifuatayo: Mtoto anayelia ni huyu (Solved)
Tumia kirejeshi kuonyesha mazoea katika sentensi ifuatayo:
Mtoto anayelia ni huyu
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Unda kitenzi kutokana na neno bora na utunge sentensi katika hali ya wingi. (Solved)
Unda kitenzi kutokana na neno bora na utunge sentensi katika hali ya wingi.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Yakinisha katika nafsi ya pili umoja
Tusipoonana na mgeni hatutafaidi
(Solved)
Yakinisha katika nafsi ya pili umoja
Tusipoonana na mgeni hatutafaidi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili ya sentensi ifuatayo.
Askari alimkimbilia mwizi.
(Solved)
Eleza maana mbili ya sentensi ifuatayo.
Askari alimkimbilia mwizi.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha
(i) Kitenzi kisaidizi
(ii) Kitenzi kishirikishi(Solved)
Tumia neno “ngali” kutunga sentensi kuonyesha
(i) Kitenzi kisaidizi
(ii) Kitenzi kishirikishi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.(Solved)
Tunga sentensi ukitumia neno ganda katika kauli ya kutendana.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda
Wataka kazi
Wataka kazi
(Solved)
Tofautisha sentensi zifuatazo kwa kutia shadda
Wataka kazi
Wataka kazi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika mifano ya sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Kipasuo cha kaakaa laini
(ii) Nazali ya ufizi(Solved)
Andika mifano ya sauti zenye sifa zifuatazo:
(i) Kipasuo cha kaakaa laini
(ii) Nazali ya ufizi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Maneno hayo yako katika ngeli gani?
(i) Ridhaa
(ii) Nanasi(Solved)
Maneno hayo yako katika ngeli gani?
(i) Ridhaa
(ii) Nanasi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika kulingana na maagizo
(Tumia wakati usiodhihirika)
Mwanafunzi anazungumza kiingereza vizuri.(Solved)
Andika kulingana na maagizo
(Tumia wakati usiodhihirika)
Mwanafunzi anazungumza kiingereza vizuri.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Andika maana mbili za sentensi: Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.(Solved)
Andika maana mbili za sentensi:
Nenda ukamwone mwenyewe, usiogope.
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)
- Kuza sentensi ifuatayo.
Nguo iliyoraruka itashonwa tena na fundi(Solved)
Kuza sentensi ifuatayo.
Nguo iliyoraruka itashonwa tena na fundi
Date posted: October 8, 2019. Answers (1)