Tambua aina mbili ya virai katika sentensi ifuatayo Mwanafunzi shupavu aliponea chupuchupu

      

Tambua aina mbili ya virai katika sentensi ifuatayo
Mwanafunzi shupavu aliponea chupuchupu

  

Answers


Kavungya
Mwanafunzi shupavu – RN
Alipopea chupuchupu – RT
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:06


Next: Akifisha je, unaipenda hali ilivyo mwenzake alitaka kujua
Previous: Andika sentensi ifuatayo upya kwa mwanzo wa kiwakilishi Mama huyu anapika wali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions