Andika sentensi ifuatayo upya kwa mwanzo wa kiwakilishi Mama huyu anapika wali

      

Andika sentensi ifuatayo upya kwa mwanzo wa kiwakilishi
Mama huyu anapika wali

  

Answers


Kavungya
Huyu anapika wali
Kavungya answered the question on October 8, 2019 at 07:07


Next: Tambua aina mbili ya virai katika sentensi ifuatayo Mwanafunzi shupavu aliponea chupuchupu
Previous: Tumia ‘O’ rejeshi tamati Nguo iliyonunuliwa si ile uliyoitaka

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions