Eleza matumizi ya ‘ka’ na ‘hu’ katika sentensi zifuatazo. (i) Nilienda kanisani nikamkuta, nikamwamkua, nikamwomba msamaha. (ii) Baba hufika nyumbani usiku wa manane

      

Eleza matumizi ya ‘ka’ na ‘hu’ katika sentensi zifuatazo.
(i) Nilienda kanisani nikamkuta, nikamwamkua, nikamwomba msamaha.
(ii) Baba hufika nyumbani usiku wa manane

  

Answers


Maurice
(i) Ka – Inaonyesha mfululizo/mfuatano wa matukio/vitendo

(ii) Hu – Kuonyesha hali ya mazoea
maurice.mutuku answered the question on October 8, 2019 at 07:08


Next: Explain the difference in meaning between the sentences that follow. i) I bought three pens for thirty shillings. ii) I bought three pens at thirty shillings.
Previous: ISIMU JAMII Jadili mambo yanayotatiza kuenea kwa Kiswahili kabla ya 1962 nchini Kenya.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions